Real Sociedad yakubali kipigo kutoka kwa Sporting CP
Klabu ya Sporting CP ya ureno imepata ushindi wa magoli dhidi ya Real Sociedad ya hispania. Mechi ambayo ilikuwa inaonyeshwa live kupitia TV3 TANZANIA Sporting CP waliweza kutawala mchezo wote kwa dakika zote 90.
Twiga Stars imepondpolewa kwenye michuano ya WAFCON2024 inayoendelea kutimua vumbi nchini Morocco baada ya kupoteza kwa bao 4-1 dhidi ya Ghana ukiwa ni mchezo wa mwisho hatua ya nmakundi.
Wekundu wa msimbazi, Simba hatimae imemaliza mashindano ya kombe la shirikishi Africa 2024/2025 ilio dhaminiwa na kuletwa kwetu na wadhamini wakuu Totall Energies CAF confederation cup, ziko hapa sababu za simba kushindwa kupindua meza...