DONDOO: SOMA HAPA SABABU ZA MSINGI SIMBA KUPOTEZA ZIDI YA RS BERKANE KATIKA FAINALI
Wakati simba ikivuta subira ya kushiriki mashindano mengine ili kupata tena tiketi yake, swala la msingi kiabisa kwa wadau, uwongozi na mashabiki kwa ujumla ni kwa sababu gani zimepelekea mnyama simba kushindwa kwenye finali hii yenye historia ya kuchezwa morroco ambapo simba ili menyana na timu ya RS Berkane na matokeo ya mechi kuisha kwa ushindi wa Berkane bao 2- 0 simba, huku mechi ya final ya pili nyasi zilipata tabu pale kwenye Uwanja wa Makamu wa Raisi wa kwanza wa jamuhuri ya Tanzania ,Amaani stadium ulipo zanzibar ni uwanja wenye uwezo wakubeba watazamaji takribani watu wasio pungua 16,200 ,uwanja hutumikao kwa maadhimisho ya mapinduzi Zanzibar kila mwaka tarehe 12 januari, hapa ndipo hatima ilipo fikia baada ya wenyeji simba 1- 1 RS Berkane full time licha ya muamuzi kuongeza dakika 9 ,kisha akapuliza filimbi na final hio kwisha huku RS Berkane ikibeba kombe hilo.
Muamuzi wa mchezo, uwanja na matukio katika mechi yenyewe, uwezo wa timu Rs Berkane, kibaya zaidi ile adhabu kali ya kadi nyekundu iliotolewa kwa mchezaji wa timu ya simba. Yote tisa kumi ebu tuambie wewe unadhani ni sababu gani ilio changia zaidi mnyama kutepeta final ?? Unaweza kutoa maoni yako kupitia mitandao yetu ya kijamii instagram and facebook @tv3 @tv3sports.
Ungana nasi kupitia kisumbuzi @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV Kwa Taarifa zaidi.
#STBongoUpdates #NyumbaniKwanza