Kuelekea mchezo wa Watani wa Jadi maarufu kama Kariakoo Derby, Viongozi na wasanii ambao ni mashabiki wa Timu za Simba SC na Yanga SC wameendelea kuonyesha tambo zao kuelekea kunako mchezo huo utakaopigwa Aprili 20 Dimba la Benjamini Mkapa.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Juma aweso ambaye ni shabiki wa Simba SC ameeleza wazi kuwa licha ya timu yake kuwa kwenye changamoto kwa sasa lakini ni wakati wa mashabiki kuungana kwa lengo la kufanikisha ushindi kunako mchezo huo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement