Mara baada ya kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Ihefu FC, Uongozi wa Klabu ya Singida Fountain Gate FC umewaomba radhi mashabiki na kuweka ahadi ya kufanya makubwa zaidi katika michezo ijayo ya Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.

Afisa Habari wa Singida Fountain Gate FC Hussein Massanza amezungumza sambamba na kuwashukuru mashabiki wa Mkoani Singida kwa kuendelea kutoa sapoti.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement