Nyota huyo aliyeondoka ndani ya kikosi hicho Agosti 9, 2017 huku akiwa ni moja ya makipa bora nchini kutokana na kiwango chake anachokionyesha alihitajika mwanzoni tu kujiunga na timu yake ya zamani ingawa dili hilo lilishindikana kwa kile ambacho Simba ilihitaji kubadilishana na kiungo nyota wa kikosi hicho, Sospeter Bajana jambo ambalo viongozi wa Azam hawakukubaliana nalo.



Hatua hii inakuja mara baada ya kumalizana rasmi na klabu ya Simba SC, aliyodumu nayo kwa muda mrefu akitoa mchango mkubwa langoni,Kwa sasa, Manula ni sehemu ya kikosi cha Azam FC kinachojipanga upya kuelekea msimu wa 2025/26.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement