Wayne Rooney ametangazwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Birmingham City akitoka katika klabu ya D. C United ya Marekani.
Birmingham City inashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Championship
Kocha wa Crystal Palace, Oliver Glasner, anapanga mipango ya muda mrefu na klabu licha ya mkataba wake wa sasa kumalizika majira ya kiangazi yajayo.
Beki wa kati wa Ufaransa, William Saliba, amekubali kusaini mkataba mpya na Arsenal, kwa mujibu wa ripoti ya mwandishi wa The Athletic, David Ornstein.
Subscribe to our newsletter to get latest news, popular news and exclusive updates.