Real Madrid si klabu ya soka tu, bali pia ni nembo ya mafanikio, ushindani, na historia ndefu ya soka barani Ulaya na duniani kote.Fahamu zaidi kuhusu timu hii ya kimataifa, hususani kocha mpya ,mafanikio makuu, historia , yakati muhimu, viongozi na uchezaji hapa...