Nyota wa kabumbu duniani Ronaldo (Cr7) raia wa ureno ameonesha taharuki kubwa baada ya tarifa ya kifo cha mchezaji nyota DIOGO JOTA ambae amekuwa ni moja ya wachezaji wenye ukaribu ndani na njee ya uwanja na ikizingatiwa Ronaldo nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno ambapo nyota hao wawili wamekuwa wakitumikia kikamilifu. Ronaldo ameshindwa kuficha jizuia ..