Katika dirisha lijalo la usajili katika majira ya kiangazi ,tetesi zilizo tufikia baada ya nyota mchezaji wa Wydad Casablanca Morocco,kuzungumza na waandishi wa tovuti ya Telegraaf  yakuwa  kuwa timu hio inafanya jitihada kubwa za kumsajili  bingwa wa kimataifa nyota kutoka nchini Ureno  Cristiano Ronaldo alisibitisha hayo mchezaji Nordin Amrabat kuhusu uvumi wa tetesi hizi.


Amrabat ametokea klabu ya hull city na sasa ataiwakilisha na kuitumikia lkabu ya wydad katika kombe la dunia la klabu Kwanzia mwez Juni mwaka huu 2025, ameleta gumzo baada ya mashabiki na wadau wa mpira wa miguu ulimwenguni uwanza kuwa nafikra kuwa Ronaldo akisajiliwa na Casablanca ambayo ni timu  inayo miliki wachezaji wengi vinara kutoka mataifa mbali mbali akiwemo mchezaji wao mpyaa kiungo wa zamani wa timu ya Yanga Stephen Aziz Ki huenda akacheza timu moja na CR7 Cristianio Ronaldo.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement