Katika Kuendelea kumuenzi aliyekuwa mchezaji wa Klabu ya Wolverhampton Wanderers raia wa Ureno Diogo Jota klabu hiyo imemuweka mchezaji huyo kwenye rekodi ya umaarufu katika ukumbi wa Klabu hiyo.


Jota aliisaidia Wolves kupandishwa daraja hadi Ligi ya Ligi kuu ya Uingereza mwaka 2018 kabla ya kujiunga na Liverpool mwaka 2020.

"Diogo hakuwa tu mwanasoka wa mwenye kipaji, lakini mtu ambaye alikuwa na unyenyekevu na wema wakati wote akiwa Wolves, na atakumbukwa sana na sisi sote," Matt Wild - Mkurugenzi wa utawala wa soka wa Wolves.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement