Leo Juni 9 2025 imekuwa siku ya ki historia, baada ya viongozi akiwemo msemaji wa simba Ahmed Ally kupokea cheti cha super brand kama taasisi namba mbili yenye chapa kubwa nchini na namba  moja kwa taasisi zinazoji husisha na michezo.



Cheti hiki kimetolewa na superbrand East Africa Baada ya kufanyika utafiti kwa kushirikiana na shirika la utafiti la Ipsos.

Ipsos ni Kampuni ya Utafiti wa Soko

Ipsos ni mojawapo ya kampuni kubwa duniani zinazojihusisha na tafiti za soko, maoni ya umma, na uchambuzi wa takwimu. Ilianzishwa nchini Ufaransa mwaka 1975 na imepanuka kimataifa.

Huduma zao ni pamoja na:

Utafiti wa maoni ya wapiga kura (polling)

Utafiti wa bidhaa na huduma kwa wateja

Utafiti wa tabia za walaji

Ufuatiliaji wa chapa (brand tracking)

Uchambuzi wa mitazamo ya kijamii na kisias

Ipsos hufanya kazi na:

Serikali,Makampuni binafsi

Mashirika ya habari (kwa kura za maoni)

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement