Ushahidi pia unathibitisha kuwa Jota, ndiye alikuwa dereva wa gari hiyo aina ya Lamborghini, ambayo iliacha njia baada ya kupasuka tairi na kusababisha kifo kwa wachezaji hao kasikazini mwa Zamora, Hispania. 


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na polisi inaeleza kuwa “Tumejiridhisha na kila ishara inaonyesha kuwa gari ilikuwa kwenye mwendo uliozidi matakwa ya usalama barabarani.”

#Tv3Sports Katika kisimbuzi cha #AzamTv CH 416

🔥 TV3 SPORTS – Kila Mchezo Una Maana.

🤝 Imepewa nguvu na @quantuminfinity_

#TV3Sports #UzinduziRasmi #MichezoAfrikaMashariki #BurudaniYaKweli #LiveNaTV3 #PoweredByQuantum


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement