Liverpool imefanya jambo la kihistoria kwa kukuachilia rasmi jezi namba 20 kimya kimya, jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia yake ya miaka 133 .
Taarifa ya polisi nchini Hispania inaeleza kuwa, mwendokasi ndio chanzo cha ajali iliyopelekea kifo cha aliyekuwa mchezaji wa Liverpool na nyota wa kimataifa wa Ureno, Diego Jota pamoja na mdogo wake André Silva.