Klabu ya Chelsea ipo katika hatua za mwisho kukamilisha makubaliano ya binafsi na Xavi Simons. Mchakato unaendelea vizuri na dili linaelekea kukamilika.
Mwevinyo mharani, Wolverhampton Wanderers wamefanya hatua ya kipekee ya kumuenzi Diogo Jota kwa kumweka rasmi katika Hall of Fame ya klabu, hatua ambayo inaashiria ni mwendelezo wa kumuheshimu kwa wachezaji walioacha alama isiyofutika.