Mwevinyo mharani, Wolverhampton Wanderers wamefanya hatua ya kipekee ya kumuenzi Diogo Jota kwa kumweka rasmi katika Hall of Fame ya klabu, hatua ambayo inaashiria ni mwendelezo wa kumuheshimu kwa wachezaji walioacha alama isiyofutika.
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na Kenya, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (Congo Brazzaville), watashiriki katika turnamenti ya mazoezi ya awali ya CHAN kuanzia Julai 21 hadi 27 kwenye Uwanja wa Karatu, Arusha