Sheria mbili katika sheria kumi na saba  za mpira wa miguu zimefanyiwa maboresho, ambazo ni sheria number 10 inayohusu kuamua matokeo ya mchezo na sheria namba 14 inayohusu pigo la penalti.


Mabadiliko hayo ya sheria yanahusu namna ya upigaji na matokeo yake pale inapotokea mpigaji wa penalti akagusa mpira kwa miguu yake miwili jambo ambalo kwa msimu uliopita na mingine ya nyuma lilikuwa ni kosa linalopelekea uamuzi wa adhabu ya pigo lisilo la moja kwa moja kwa timu iliopigiwa penalti na ile iliyopigwa penalti na ile iliyopiga kuhesabiwa imekosa.

You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement