Katika kipindi cha maswali na majibu mapema leo ijumaa Mei 30,2025 bungeni jijini Dodoma ,Naibu waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mh, Hamisi Mwinjuma maarufu kwa majina Mwana Fa alijibu swali la Naibu spika,Mussa Hassan Zungu, Kuhusu hatma ya mechi hiyo kufuatia ukarabati mkubwa wa uwanja wa Benjamin Mkapa.


Mh. Zungu alitaka kufahamu yakuwa uwanja wa Mkapa utakuwa tayari kwa mechi hiyo inayo wapa homa mashabiki na wadau wasoka hususani timu husika za Simba na Yanga wenye dabi yao maarufu  Dabi ya watoto wa Kariakoo,  "kwa hiyo Mheshimiwa Waziri,Tarehe 15, Mnyama simba yupo kwa mkapa??

Tazama #Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha #startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)

#Tv3Tanzania #GameOn


You Might Also Like

Get Newsletter

Advertisement