Julai 6, 2025 – Taifa limepitwa na huzuni baada ya kifo cha Mzee Ally Pazi Samatta, baba mzazi wa mshambuliaji wa zamani wa Taifa Stars, Mbwana Samatta. Marehemu alifariki mapema asubuhi akiwa nyumbani kwake Mbagala – Dar es Salaam – imethibitishwa na mtoto wake mkubwa, Mohamed Samatta,