Kocha wa Klabu ya Yanga Miguel Gamondi amekipongeza kikosi cha Ihefu FC kwa kiwango walichokionyesha katika mchezo wa Nusu Fianali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara na Yanga sc kufanikiwa kutinga Fainali ya Michuano hiyo ambapo watakutana na Azam FC.