KLABU YA SIMBA SC YAVUNJA MKATABA NA KOCHA MKUU ABDELHAK BENCHIKHA
Simba SC imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba na kocha mkuu, Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake wawili, Kamal Boujnane na Farid Zemit.
Timu ya Taifa ya Senegal inatarajia kushiriki mashindano maalumu ya CECAFA 4 Nations Tournament yatakayohusisha mataifa manne kabla ya kuanza kwa mashindano ya CHAN.
Katika mkutano wake wa hivi karibuni, Tanzania Premier League Board (TPLB) imetoa adhabu kali dhidi ya Simba SC kutokana na ukiukwaji wa kanuni za ligi.