KAULI YA AHMED ALLY NA KOCHA ROBERTIHNO BAADA YA USHINDI
Baada ya Ushindi wa Goli 3-1 dhidi ya Prisons Afisa Habari wa Klabu ya Simba na Kocha Mkuu Robertinho wamezungumza kuhusu Ushindi huo ndani ya Uwanja wa SOKOINE
IFAB Bodi ya vyama vya mpira wa miguu Duniani ndio chombo chenye mamlaka ya kuboresha sheria 17 za mpira wa miguu ambazo zinatumika duniani kote . Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limeongoza kwa mujibu ..